Monday, March 26, 2007

Kwetu Feri

Kazi yetu hutufanya tunuke sana kwa shombo ya samaki. Lakini mpaka sasa samaki hasa wa Baharini ni chakula bora kuliko Kuku wenye mafua ya ndege na nyama.

No comments: